Mabadiliko: Ray C wa sasa na Ray C wa zamani

Makonda kasema hata kama umeacha uende tu central
 
Abdallah Rashid Vikings anahusika hapa?
 
Namwombea kwa MWENYE ENZI MUNGU ashinde majaribu..
 
Kipindi cha Nyuma kabla kimwana huyu hajaanza kula Unga wa ngano.
Ulikuwa ukimtazama Mashalaah,kimoyoyo unasema amakweli Maanani hakosei,Mtoto jicho linakwita ,kiuno nyonga akudo impact wote mikono chini.

Mahaba ya dhati yalinishukia juu yake,bahati Mbaya kilio changu hakikusikika.

Mola amujalie maisha marefu yenye furaha na Amani.
 
Wabwia unga noma wameitumia sana "papuchi" yake,bila maslai wamemuachia "korongo" tu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…