Mabadiliko wa upatikanaji wa float?cash kwa wakala

Mabadiliko wa upatikanaji wa float?cash kwa wakala

Tirus

Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
50
Reaction score
13
MABADILIKO WA UPATIKANAJI WA FLOAT/CASH KWA KILA WAKALA.

Ndugu Wakala,

Kuna mabadiliko juu ya upatikanaji wa Float/Cash toka tarehe 01/10/2014.

Mwanzo kulikuwa na uhuru na huduma ya bure wa kuto na kuweka hela kwa super Agent/ Benki.

Kwa sasa kuna makato kwa kila muamala utakaofanyika. ILI KUKWEPA MAKATO TUNAOMBA MAWAKALA WOTE WATUMIE AKAUNTI YA KAMPUNI KWA USALAMA WAO.
Jina la Benki:NMB
Akaunti Namba:3051001152
Jina La Mwenye Akaunti:Mnyambu Enterprise
Aliyeweka Hela:Andika jina la Tili yako ya Mpesa na Short
code

Unaweza kuweka kuanzia Milioni 1 hadi 10 ila ukiwa na hela zaidi kuanzia milioni 11 na kuendelea nitakupa akaunti nyingine kwa haraka zaidi.

Pia tuna ofa maalum kwa Tsh 80,000 tu kwa ajili ya simu za msart phone yenye specification:-
Processor:MKT6575M
Platform:Android
Memory:Rom:4GB,RAM 512Mhz

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi-0768-684790 , 0787-899196 , 0756-027849 au ututumie e-mail kupitia cyrusomolo@gmail.com AU mnyambuenterprises@yahoo.com

Tunakutakia Mafanikio mema.
Cyrus Okolah Omolo
MNYAMBU ENTERPRISES-WAKALA MKUU WA VODACOM TANZANIA
S.L.P 281 MWANZA
S.L.P 156 BARIADI-SIMIYU
 
huooo utakuwa utapeli, hadi shortcode?bora nikatwe hiyo 0.25 asilimia.....
 
huooo utakuwa utapeli, hadi shortcode?bora nikatwe hiyo 0.25 asilimia.....

Kukatwa si 0.25 ni 0.00225 nako si bora kwa wale wanaofanya transactions kubwa kubwa mi ni mdau nimeweka float two times washalamba 18,000/=

Nawaza namna ya kuondokana na hili kwa sababu hatukushirikishwa kwa lolote,isipokuwa tumeletewa maelekezo ya kutekeleza deal ambayo wanufaikaji ni SD(Bank) na Vodacom.
Yale makato wanayofanya katika kila muamala TRA ni rafiki kiasi kikubwa ukilinganisha na hii ya bank hawa wanaparua.
 
daaaah nikifikiria float wananichosha,wataona matunda yake ni kwamba inakuwa ngumu mawakala kwenda kuongeza float....
 
Back
Top Bottom