Mabadiliko ya elimu

ombuso

New Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Ni wapi elimu ya tanzania inapoelekea? kama elimu imebadilishwa kuwa kama mchezo wa kuigiza, mabadiliko yanafanyika kimya kimya tu, na kwa namna hii inaonesha kabisa kudorora katika sekta hii. our educational system has no way foward. every person with his policy on education. inabidi msimamo katika elimu uwepo sio kuyumbisha sekta hii kwa mtindo mbovu.
 
Kila mmoja analalamika,mimi nalalamika,mtoa mada analalamika, wanafunzi wanalalamika, walimu wanalalamika, waziri wa elimu ana lalamika, waziri mkuu analalamika, makamu wa rais anakata utepe kufungua majengo, rais analalamika sasa nani achukue hatua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…