Mabadiliko ya madaraja kito cha Nne

Mabadiliko ya madaraja kito cha Nne

Khams

Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
36
Reaction score
11
Sijui hili taifa linaelekea wapi.. Kila kitu
kinaendeshwa kisiasa!. Basi hadi elimu jamani??
Wakubwa katika wizara husika nahisi
hawawajibiki kivitendo hasa katika kuiboresha
elemu ila wapo bize katika kutunga
sera!.. Hii sio njia ya kupunguza idadi ya fails katika taifa, au walifkiri tatizo la wanafunzi kufeli lipo katika madaraja??? Kwann wasiboreshe miundombinu ya elimu pamoja na kuboresha hali za walimu wenye sifa??#This_is_Tanzania_for_Tanzanians.
 
Back
Top Bottom