Mabadiliko ya mifumo ya kisiasa huletwa na matajiri, usitegemee mwananchi wa kawaida kuondoa chama tawala madarakani

Mabadiliko ya mifumo ya kisiasa huletwa na matajiri, usitegemee mwananchi wa kawaida kuondoa chama tawala madarakani

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Amjambo?

Nimekua nikifuatilia hali ya kisiasa nimekuja na kitu,siku zote mapinduzi ya kisiasa ufanywa na watu wenye pesa usitegemee common mwananchi kusimamia jukumu ili kwa sababu mbili,kwanza hana resources za kumsaidia haki upande wa mahakama na pili hana kipato cha uhakika kuendesha familia na majukumu mengineyo.

Baada ya sakata la bandari kuibuka viongozi wa mrengo wa upinzani wamekua wakiimiza wananchi kudai haki zao za kikatiba kwa kusema wao wamemaliza wamewaachia wananchi, binafsi naona kwa mazingira ya siasa zetu na tabia za wananchi ni ngumu sana kuleta mageuzi
 
Back
Top Bottom