Mabadiliko ya sheria/taratibu zinazo husu wageni - iwepo nakala ya Kiingereza

Mabadiliko ya sheria/taratibu zinazo husu wageni - iwepo nakala ya Kiingereza

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena

HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI

Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani Kiswahili na Kiingereza

I weje tangazo linalo wahusu watalii kwa asilimia 80% likose nakala ya Kiingereza.

Wote tunajua kuwa Kiingereza ni tatizo kwa watu wengi lakini pia, kutafsiri ni kazi ya watu sio kila mtu anaweza kutafisiri na kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

Yaani kuna vitu vidogo vidogo vinatufanya tuonekane hatupo serious!
 
Back
Top Bottom