Mabadiliko ya simba kwenda mfumo wa kisasa ni kitapeli

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Nisiwachoshe wa jamvi humu, kama kichwa kinavojieleza Simba tunapigwa na kanjbhai.

Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Hao wanne umewaona? Au umesikia maneno matamu ya kupata kura tu? Uwanja wa watu 20k kujengwa ndani ya miaka miwili vipi nalo hujasikia
 
Mbona kama unampigia kampeni injinia Hersi indisguise?

Hukutakiwa kutumia nguvu sana namna hii, injia Hersi ni rahisi yanga bila kupingwa.(amepita bila kupingwa-Haka kakauli kamekaa kinafiki sana[emoji2])

Ila, hujatuonesha wapi yanga alipofanikiwa katika hii transformation vis-a-vis pale simba aliposhindwa.

N.B, Tatizo lenu mnapenda sana kuamini uongo, na kupuuza ukweli(uhalisia).
 
Maaskini ''MAKOLO'' [emoji53]
 
Wahindi wrote duniani ni wacheza kamali wakubwa na makali ndani yake kuna utapeli

Kwahiyo mtachagua wenyewe kama ni kusuka au kunyoa
 
Tatizo la simba walifanya mambo kienyeji pia wanachama hawakupewa elimu ya kutosha walichofanya yanga ni kuiga na kuboresha walichoiga.
 
Ww jinga sanaa yaan sehemu ya mwekezaji / likely ata hisa wao watachukua so wameandaa mazinhira kwa kumuweka mtu wao ktk zile asilimia 51 zenu


Angalia mfumo wenu wa uchaguzi wanavhama wana wakilishwa na wajumbe toka ktk kioa tawi ..huku ni kumnyika mwanachama haki yake ya kuchagua ..... Hauwezi ku copy mazingira ya ki magharibi yaka fit moja kwa mkoja ktk nchi zetu za ulimwengu wa 3

Kwa Simba, zile hisa 49 upatikanaji wake ulikuwa wazi coz watu waliombwa wapeleke bid zao lkn alikuwepo mmoja tu pekee ...
 
Hivi ww kichwani upo sawa kweli? Sote tulikuwepo na tulisikia kila kitu,,mchakato wa simba hisa 49% Mo hakushindanishwa na mtu tena kwa taarifa yako gabacholi alijipangia bei na akawapa na muda muamue kama hamtaki bilion 20 hewa ataenda kununua Bank. Au ulikua namtumbo kipindi hicho?

Hivi ww kama simba ina bilion 20 aliyowekeza gabacholi kwann inatembeza bakuli la kisasa la nani zaid? Hizo bilion 20 unaweza zitumia kupata mkopo na ukajenga uwanja
 
Uwe unasoma watu wame andika nini sio kuropoka tu chupli chupli nyingi


Tendwa ilitangazwa lkn Mo pekee ndio alileta bid yake ..acha kuwa mbishi kama tayoo...usijione ww ndio una jua taratibu ukumbuke draft ya awali ya simba iki rekebishwa tena comment za waziri mwakyembe ndio alipendekeza iyo 49% kwa 51%

Sasa ww ulitaka mchakato usitishwe kwakuwa kulikuwa na mshindani mmoja tu ?



Acha uprimitive
 
Hao wanne umewaona? Au umesikia maneno matamu ya kupata kura tu? Uwanja wa watu 20k kujengwa ndani ya miaka miwili vipi nalo hujasikia
Cha ajabu ni uwanja kutaka jengwa Jangwani ambapo pembeni tu kuna transmission line ya Tanesco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…