harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,351
Kuna kila dalili kwamba mabadiliko ya Tanzania yataanzia Arusha kutokana na kuqwa na mbunge
mwenye uthubutu na mpenda watu lema pamaoja na kuwa na serikali ambayo inampelekesha
ili ashindwe kufanya kazi zake na wananchi wa Arusha tumchoke "hatutachoka kamwe haki daima"