Mabadiliko ya Tanzania yataanzia Arusha................

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,351
Kuna kila dalili kwamba mabadiliko ya Tanzania yataanzia Arusha kutokana na kuqwa na mbunge
mwenye uthubutu na mpenda watu lema pamaoja na kuwa na serikali ambayo inampelekesha
ili ashindwe kufanya kazi zake na wananchi wa Arusha tumchoke "hatutachoka kamwe haki daima"
 
MMH!haya ya CDM sijui DCM mi nayaogopaga!!
 
Safari moja huanza nyingine kwahiyo kama Arusha wameanza itaendelea kusamba mkoa hadi mkoa na baadae TZ nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…