Mabadiliko ya tarehe ya Harusi

Zemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
518
Reaction score
81
WanaJF napenda kuwataarifu kuwa ile tarehe ya mwanzo ya harusi yangu imesogezwa hadi tar 17/07 kutokana na kuingiliana na kikao kikubwa cha wachungaji pale Tanga.Maandalizi mengine yanaendela kama kawaida.Karibuni sana.
 
WanaJF napenda kuwataarifu kuwa ile tarehe ya mwanzo ya harusi yangu imesogezwa hadi tar 17/04 kutokana na kuingiliana na kikao kikubwa cha wachungaji pale Tanga.Maandalizi mengine yanaendela kama kawaida.Karibuni sana.

Typo error ama?
 
wanajf napenda kuwataarifu kuwa ile tarehe ya mwanzo ya harusi yangu imesogezwa hadi tar 17/07 kutokana na kuingiliana na kikao kikubwa cha wachungaji pale tanga.maandalizi mengine yanaendela kama kawaida.karibuni sana.
umesomeka mama/baba.
 
halafu kumbukeni kombe la dunia kule south wengine huenda wasiwepo.hawajarudi.

nimekuwa nikinywa soda sana na pia kutuma mameseji kibao kwenye masimu ili nishinde tiketi lakini naona hakuna mafanikio....mimi nadhani nitakuwepo kuhudhuria harusi
 
nimekuwa nikinywa soda sana na pia kutuma mameseji kibao kwenye masimu ili nishinde tiketi lakini naona hakuna mafanikio....mimi nadhani nitakuwepo kuhudhuria harusi

:gossip:...Usikate tamaa, shida yako unakunywa GINGER-ALE
KUNYWA COKE UKWEE PIPA!...Tutakuacha hapohapo YAEDA...SHAURI YAKO!
 
:gossip:...Usikate tamaa, shida yako unakunywa GINGER-ALE
KUNYWA COKE UKWEE PIPA!...Tutakuacha hapohapo YAEDA...SHAURI YAKO!

Mkulu PJ kuna pipa hapa home nimelikwea tangu nashangaa halisogei!
 
:gossip:...Usikate tamaa, shida yako unakunywa GINGER-ALE
KUNYWA COKE UKWEE PIPA!...Tutakuacha hapohapo YAEDA...SHAURI YAKO!

hivi eeh...coke ipi sasa ile yenye chupa nyeusi tii (ikiwa na soda)au ile yenye wekundu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…