Mabadiliko ya tarehe ya Mahafali ya 25 ya chuo kikuu cha Mzumbe

Captain Gosset

New Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
3
Reaction score
0


Awali, mahafali yalipangwa kufanyika mwezi Desemba, jambo ambalo lingetupatia muda wa kutosha kukamilisha tafiti zetu na kuwa na uhakika wa kuhitimu mwaka huu. Hata hivyo, tangazo la ghafla la tarehe 10 kuhusu kuhamishiwa kwa mahafali mwezi Oktoba kutokana na El Niño limewaathiri baadhi yetu ambao bado tunakamilisha research.

Tunaomba uongozi wa Chuo uzingatie changamoto hii na kutafuta suluhisho litakalowawezesha wanafunzi walioathirika kukamilisha tafiti zao na kuhitimu mwaka huu, bila kulazimika kusubiri mahafali ya mwaka ujao kutokana na mabadiliko haya ya ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…