Mabadiliko ya tarehe za michezo ya Simba SC na Yanga FC katika mechi za kimataifa

Joined
May 27, 2013
Posts
12
Reaction score
3
Mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho kati ya Simba dhidi ya Al Masry utapigwa Ijumaa ya March 09 kwenye uwanja wa Taifa kulingana na mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na shirikisho la soka barani Afrika, CAF.

Awali mchezo huo ulikuwa umepangwa kupigwa March 06.

Mchezo wa marudiano utapigwa nchini Misri wiki moja baadae, march 16.

CAF imebadili kalenda yake ambapo michezo yote ya ligi ya mabingwa pamoja na kombe la Shirikisho itapigwa katikati ya wiki.

Sasa ni Yanga itakayoshuka dimba la Taifa March 06 kuivaa Township Rollers kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…