Mabadiliko ya tuition fee

Jerry de Marco

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
213
Reaction score
41
Naomba kuuliza kuwa et tuition fee kwene coarse mbalimbali huwa ina badilika mwaka had mwaka? Mnaofaham naomben mawazo yenu
 
Ndo maana yake,kwa uthibitisho zaid soma guided book ya 2010/2011,2011/2012 na 2012/2013 baadh ya coz fee imeongezeka.
 
mh inategemea na chuo,km ud mi tangu naanza mpk namaliza haikuchange na mpk nw haija change,kilichobadilika ni ada za hostel yan,mayb waamue saiv
 
Naomba kuuliza kuwa et tuition fee kwene coarse mbalimbali huwa ina badilika mwaka had mwaka? Mnaofaham naomben mawazo yenu

kwa ninavyofahamu mimi na nilivyoona ni kuwa ada ambayo utaanza nayo ndo hiyo hiyo utamaliza nayo hata kama mwaka utakaofuata watapandisha au watashusha ada ya kwako uliyoanza nayo itabaki hivyo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…