Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

hiyo ni kawaida. it can even take longer than that kurudi hali ya kawaida. Trust me itarudi kama ilivyokuwa mwanzo.
 
Usiache uke wako wazi wazi mala kwa mala upepo ukaingia humo,vaa chupi muda wote japo jisafishe kila wakati kama destuli,lala na chupi usiku wote na uvue pale tu unapotaka kukutana kimwili na mumeo.baada ya hapo ukijisafisha ili ulale vaa tena chupi usiku wote mpaka asubuhi.
 
Mie sijui bibie hayo mavitu,sijui manzi wangu nae amekuwa hivyo ametoka kujifungus wiki iliyopita kwa kuongozewa njia! Sasa kama inatakiwa akae mwaka moja hapo ni lazima nitafute mchepuko masna mie siwezi kukaa mwaka mzims bila sex
Usisikilize kila neno,kwa akili ya kawaida tu mwanamke unaanzaje kukaa mwaka bila ngono na unaishi na mwenza wako?Kitabibu ngono huweza kuresume kuanzia week ya nne mpaka ya sita kama mtu amepona sawa sawa(hasa wa upasuaji)
kwa wengine maybe miezi miwili mpaka minne.Hii huzingatia pia mambo mengine kama afya ya mama,hali ya asili ya kimaumbile n.k.Hivi ndani ya huo mwaka huyo mama anakuwa anajichua au??
 
maji moyo na chumvi ilinisaidia Sana,nimemwambia kitu Nina evidence nacho.

Tressa;
Sio kwamba nimekuambia kuwa ulikosea ila nakuambia tu kama mtu mwenye mke aliyezaa zaidi ya watoto 8. Kama ni kuchanika, alichanika vibaya sana kwani alikuwa hajafikia maumbo yaliyo komaa.
Lakini, hatukutumia maji wala chumvi wala nini. Ni usafi wa kawaida tu na hali yake haikuharibika wala nini. Wengine wenu mnafunga hata kula uji, mtori na vyakula laini ati mnaogopa vitambi. Sio kweli. Kitambi hakiji kwa sababu tumbo lilibeba mimba. Kitambi huja kutokana na maumbile ya mtu.
Wapo wamama wamefikia hali ya kuamua kuzaa kwa kisu ati wanaogopa uke kupweteka. Hadi wengine hawataki kunyonyesha ati matiti yatakuwa malapa. Huu ni uovu mkuu mnawafanyia watoto wenu.
Nimekuambia haya kuwasaidia wengine wasije jichubua bure wakidhani kuwa hali yake haitarudia. Aksante kama utanielewa.
 
Inaonekana shemeji aliipenda hiyo naniii basi ila wewe hakukupenda
 
Umenichekesha jibu lako yaani humu jf utegemee jibu lolote ilimradi usirushe mawe
 

Dada;
Kama ni mtu wa kusikia basi asikilize maneno yako. Kwanza huenda hata hizo wiki 4 zisifike kwani huwa kuna muwasho anaousikia mkewe na huhitaji kukunwa. Mwambie ampe mama vyakula vizuri vya kumfanya atamani kula. Sio makande na ugali mgumu. Aone ka hatamgawia tunda kabla ya wiki tatu kwisha. Ila naye aende taratibu akijua mwenzie alifanyiwa upasuaji.
 
Usihofu, kadili muda unavyoenda utarudi katika hali yako ya kawaida
 
One year haujigijiwi??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ameolewa na roboti au?
binadamu my dear,sasa niumie kisa ndoa,akitaka kuchepuka huwezi mzuia hata kama utado na blood inatoka,ndoa si utumwa,tena alikuwa ananihurumia Sana,juu aliona vile niliumia.kumletea mtoto si kitu cha mchezo na nashukuru anathamini Hilo.
 
Na Mimi naongeza swali . Inachukua mda gani jeraha kupona baada ya kujifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…