Mabadiliko ya uongozi ndani ya Jubilee yasababisha Wakenya kumkumbuka Nyerere

Mabadiliko ya uongozi ndani ya Jubilee yasababisha Wakenya kumkumbuka Nyerere

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kwenye ukweli uongo lazima utajitenga, pamoja na baadhi ya wakenya kumsema vibaya Mwalimu Nyerere, lakini wengi wao wanaendelea kumuenzi na kumkumbuka miaka 20 baada ya kifo chake. R.I.P Mwalimu.

----

b955cd9cd47023616dab2cdc537fa135

In his address during the launch of the popular Arusha Declaration on February 5, 1967, then Tanzanian President Mwalimu Julius Kambarage Nyerere laid the footprint for the onslaught on the pernicious colonial masters.

Mwalimu outlined the principles of Ujamaa which he called African Socialism; principles that were to guide the economy of the newly independent nation rooted in the concept of self-reliance.

He used the podium to deconstruct the popular belief that no money no development and instead championed the need for collective effort in attaining national goals while restoring the value of the salary. That was in 1967.

Fast forward 2020 and in a country called Kenya, the subtle nature of the political class is a direct contrast of what Mwalimu stood for and any Pan-Africanist should be reeling from the effects of recurrent melancholy.

A country where over 100,000 people displaced by floods and over 200 dead and and in the middle of a coronavirus scourge that has upended the world; Kenya's youngest president ever 'Kamwana' convenes a political meeting to deliberate on 2022 politics.

With the tranquillity enjoyed at such an ungodly hour, Mwalimu who would have been a centenarian in 2022, would have understood if you climbed high on Mt. Kilimanjaro and chanted: HERI KUWA MBWA ULAYA KULIKO KUWA MWANA WA TAIFA.

Source: 'Saint' Nyerere, Please Pray For Us
 
Nyerere left poverty and a backward retrogressive mindset in Tanzania that will haunt them for decades to come..
But anyway, he was not a bad person, he just engaged in bad policies

He's not something Kenyans would have wished to have as a leader .
 
Nyerere left poverty and a backward retrogressive mindset in Tanzania that will haunt them for decades to come..
But anyway, he was not a bad person, he just engaged in bad policies

He's not something Kenyans would have wished to have as a leader .
Under great leadership of Julius Nyerere
1)Tulijenga nchi yenye UTU, upendo na Umoja
2)Tulifuta ukabila
3)Tulitudisha Mali zote na ardhi toka kwa wakoloni na kuwarudishia wananchi
4)Tulimaliza ukoloni na ubepari
5)Tulijenga nchi yenye Amani na Utulivu
6)Tuliondoa matabaka ya kinyonyaji na upendeleo
7)Tulizikomboa nchi za Africa
8)Tulipunguza rushwa

Kukosekana kwa mambo hayo, ndio kunakowafanya Wakenya wenye akili kumkumbuka Nyerere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere left poverty and a backward retrogressive mindset in Tanzania that will haunt them for decades to come..
But anyway, he was not a bad person, he just engaged in bad policies

It's not something Kenyans would have wished to have as a leader .
Maisha tuliyo kuwa nayo watz wakati Wa nyerere ni mazuri kuliko maisha ya mkenya Wa Leo isipokua mafisadi 82% ya wakaazi Wa Nairobi wanaishi kwa slum sasa tujiulize vipi tumcheke nyerere

Send by APOLO 1
 
waache unafiki hawa mbwa wako cornered sasa wanamkumbuka Nyerere! None of them can walk Nyerere´s principles if given a chance!
With that Nyerere, mko wapi?., bado Tz ni darkness., poverty left right n centre, unafiki kati yenyu wenyewe, kukandamizwa; hampendi ukweli, with many natural resources but still omba omba republic etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe,

@bunge_tz
tunaposema Spika wenu ni mshenzi hii ndiyo maana halisi! Msifikiri tunamtukana.. Ila uzuri ni kuwa CCM kuna siku inafika mtazomewa na kupigwa mawe kila mtakapokuwa mnapita nchi hii! Nadhani lessons za 2015 hamjasahau mlikuwa mnaogopa hata kuvaa tshirt za CCM
 
Back
Top Bottom