ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 674
- 1,017
Brela kuanzia mwezi kwanza mwaka huu mlifanya mabadiliko kwenye mfumo wenu wa usajil majina ya kampuni. Lakin mabadiliko hayo yamekuwa shida kwetu watumiaji wa mfumo huo.
Kwani mlitutumia user name na pasword za kuingilia ambazo ni tofauti kabisa na tukizojiunga mwanzo. Hapa sio shida sana ila shida n kwamba hatuwezi kubadilisha user name kama mwanzo ambapo tuliweza kulog in kwa kutumia email.
Napendekeza muweke utaratibu ambao utakuwa rafiki kwa sisi watumiaji kwa maana niwena uchaguz wa kutumia user id yangu ambayo itakuwa rahisi kuikumbuka.
Pili mfumo mzma au mpangilio wa vitu,muonekano ni mgumu sana kutumia,hauvutii na hasa sio rafiki kabisa kama utatumia simu. Napendekeza mrudi kwenye mpangilio wa mwanzo hadi mtakapokuwa na mfumo rafiki kw sisi watumiaji. Nilijaribu kushauri hili tangu mwanzo tu mlipofanya mabadiliko na nashukuru email yangu mlijibu kwamba mtafanyia kazi lakin bado.
Asanteni