MABADILIKO YA VIFURUSHI: TTCL yakiondoa kifurushi chetu pendwa

Ferruccio Lamborghini

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
1,667
Reaction score
2,595
Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?

Hii kampuni inaenda shimoni wallah

Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?
 
Wameongeza nini kwa sasa?
 
Karibu Halotel !
 
Bora aisee kimevunja ndoa nyingi sana.
 
Speed ya kobe..karbu Airtel bhana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], acha utani Basi

Halotel Baba lao kwa sasa Hakuna mtandao unaofukuzia [emoji123][emoji123][emoji123]

# Airtel speed ya kinyonga
 
Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?

Hii kampuni inaenda shimoni wallah

Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?
Njoo Zantel
 
Back
Top Bottom