Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Wameongeza nini kwa sasa?Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?
Hii kampuni inaenda shimoni wallah
Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?
Karibu Halotel !Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?
Hii kampuni inaenda shimoni wallah
Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?
Speed ya kobe..karbu Airtel bhanaKaribu Halotel !
Bora aisee kimevunja ndoa nyingi sana.Wakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.
Jamaa wameondoka kile kifurushi chetu pendwa cha mida ya wanga kike cha BANDIKA BANDUA.
Hivi huyu Kindamba anatuonaje sisi wateja na wazalendo tunaotumia mtandao wa TTCL?
Hii kampuni inaenda shimoni wallah
Ngoja nianze kutafuta laini za mtandao mwingine, mtandao gani unanifaa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], acha utani BasiSpeed ya kobe..karbu Airtel bhana
Njoo ZantelWakuu, hawa TTCL mbona siwaelewi.