Mabadiliko ya wake zetu..

Hahahahah.....kaaazi kweli kweli....:moony:
 
kama hutajali Allex.....naomba urudishe ile avatar ya mwanzo......
 
hiyo avatar ni kiboko
Hakuna ukweli wowote hapo
 
lol....hiyo ya wife of future nakumbuka sijui nilii apply wakati wife yupo pale regency hospital anagonjwa.......
loh........kazi kwelikweli!
 
lol....hiyo ya wife of future nakumbuka sijui nilii apply wakati wife yupo pale regency hospital anagonjwa.......
loh........kazi kwelikweli!

Lakini alikuwa hasomi gazeti while amekupa mgongo.....mhhhh!!

Mzima wewe lakini? hatuonani...nyumba kubwa hii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…