Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
And I guess muda wote wa awamu yake kazi kubwa atakayofanya ni kuteua na kufukuza tu..kuna wakati huwa natamani JK arudi walao mwaka mmoja!Hana jipya zaidi ya kutoa povu zito na kuteua na kutengua labda safari hii yule mburula muro atapata uteuzi na Mayalla pia.
Source ya taarifa hizi?!Kama ni wewe mbona unataka kuifanya hiyo taasisi kama clouds media?Salaam wana jamvi!
Mabadiliko ya MaDC sasa yameiva na ndani ya wiki kuanzia J3 hii itatolewa orodha mpya ya majina.
Wakuu wa Wilaya wengi wameachwa huku sura mpya zikiingia.
Kazi ni moja tu One Product, One District katika dhana nzima ya viwanda.
Kaa tayari hapa kupokea mabadiliko hayo.... View attachment 629838
Uraisi wa kuzukumiziwaKama ni kweli badilisha badilisha nayo sio nzuri dk hizi, mwaka wa pili ilitakiwa ajue first eleven yake kamili na subs nzuri!
Naona kama bado yuko ktk TRIAL N ERROR!