Mabadiliko yanaanza na wewe

SWADO

Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
83
Reaction score
2
Wana JF kwa kweli tunahitaji kuwa na mabadiliko ya kweli tunahitaji kuleta mada ambazo zitaimarisha mahusiano, zitadumisha upendo na mwisho kila mmoja awe na ndoa nzuri vinginevyo tutachangia hoja zisizo na manufaa kwenye mapenzi mwisho wa siku tunaharibu badala ya kujenga, kuna hoja zinapaswa kwenda kwenye jokes we need something serious here siku njema:usa:
 
nimekusoma lkn as u said inaanza na ww!toa basi mada tuko tayari kuelimika na kujifunza pol in ol big up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…