musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Nimetoka nasoma habari chanzo BBC..." Michael Jordan" anahangaika kuuza jumba lake la kifahari lenye vyumba 9 na mabafu 19[emoji23]...mabafu mengi kuliko vyumba
Wajuvi mnisaidie haya mabafu yote kazi yake ya nini na kwanini yanakua mengi kuliko vyumba vya kawaida...na wakati mwingine yamekua kama fajati ya nyumba...yaani kwetu ukosema nyimba na Self master room 3 ...wenzetu hujivunia mabafu...kwanini
Nawasilisha