musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
ok[emoji120]Jordan anatembelewa na wageni wengi,nnahisi ndio sababu, kusiwe na ule uswahili wa kusubiriana mtu akitoka toi,kifupi Ni swala la Hygiene tu,nadhani wazungu wanataka kusiwe na ile bafu litumiwe na watu kumi bila kusafishwa
Naanza kuelewaSebuleni Kuna bafu, swimming pool Kuna bafu , outdoors Kuna bafu,chumba Cha mazoezi Kuna bafu, ofisini Kuna bafu,studio Kuna bafu ,
Sio umebanwa mpaka uende chumba Cha kulala kujisaidia huo ndio umaskini sasa
Nimetoka nasoma habari chanzo BBC..." Michael Jordan" anahangaika kuuza jumba lake la kifahari lenye vyumba 9 na mabafu 19[emoji23]...mabafu mengi kuliko vyumba
Wajuvi mnisaidie haya mabafu yote kazi yake ya nini na kwanini yanakua mengi kuliko vyumba vya kawaida...na wakati mwingine yamekua kama fajati ya nyumba...yaani kwetu ukosema nyimba na Self master room 3 ...wenzetu hujivunia mabafu...kwanini
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa hvyo basi wasinge share swimming poolJordan anatembelewa na wageni wengi,nnahisi ndio sababu, kusiwe na ule uswahili wa kusubiriana mtu akitoka toi,kifupi Ni swala la Hygiene tu,nadhani wazungu wanataka kusiwe na ile bafu litumiwe na watu kumi bila kusafishwa
Hili nalo neno,Ukiwa na pesa utagundua Kula hakuhitaji ule milo mi 3 kwa siku
Ukiwa na pesa utagundua kiwanja cha 20x20 kinatosha sana kujenga dream house
Ukiwa na pesa utagundua nyumba haihitaji bafu 1 au mawili tu yaliyo master rooms na 1 public..
Ukiwa na pesa utagundua nyumba haiezekwi kwa BATI tu,kuna vioo unaweza laza juu ya nyumba ukawa kama upo nnje.
Umaskini ni ulemavu mkuu,kuna mengi sana hutoyafahamu kama ukiwa maskini,Maisha yanahitaji pesa sana ili uweze fungua password za kila jambo chini ya jua.
Hao wenzetu wana Pesa wala usiulize maswali kwanini iwe hivi ama vile,na sisi tuzifatute tu hatuna namna mkuu.
Hadi dinning kuna bafu siyo unashindilia msosi ukizidiwa unakimbilia roomSebuleni Kuna bafu, swimming pool Kuna bafu , outdoors Kuna bafu,chumba Cha mazoezi Kuna bafu, ofisini Kuna bafu,studio Kuna bafu ,
Sio umebanwa mpaka uende chumba Cha kulala kujisaidia huo ndio umaskini sasa
Umepasuka sana mkali...Ukiwa na pesa utagundua Kula hakuhitaji ule milo mi 3 kwa siku
Ukiwa na pesa utagundua kiwanja cha 20x20 kinatosha sana kujenga dream house
Ukiwa na pesa utagundua nyumba haihitaji bafu 1 au mawili tu yaliyo master rooms na 1 public..
Ukiwa na pesa utagundua nyumba haiezekwi kwa BATI tu,kuna vioo unaweza laza juu ya nyumba ukawa kama upo nnje.
Umaskini ni ulemavu mkuu,kuna mengi sana hutoyafahamu kama ukiwa maskini,Maisha yanahitaji pesa sana ili uweze fungua password za kila jambo chini ya jua.
Hao wenzetu wana Pesa wala usiulize maswali kwanini iwe hivi ama vile,na sisi tuzifatute tu hatuna namna mkuu.
Bado hayafiki 19Sebuleni Kuna bafu, swimming pool Kuna bafu , outdoors Kuna bafu,chumba Cha mazoezi Kuna bafu, ofisini Kuna bafu,studio Kuna bafu ,
Sio umebanwa mpaka uende chumba Cha kulala kujisaidia huo ndio umaskini sasa
Anaishi na alliensNimetoka nasoma habari chanzo BBC..." Michael Jordan" anahangaika kuuza jumba lake la kifahari lenye vyumba 9 na mabafu 19[emoji23]...mabafu mengi kuliko vyumba
Wajuvi mnisaidie haya mabafu yote kazi yake ya nini na kwanini yanakua mengi kuliko vyumba vya kawaida...na wakati mwingine yamekua kama fajati ya nyumba...yaani kwetu ukosema nyimba na Self master room 3 ...wenzetu hujivunia mabafu...kwanini
Nawasilisha
We boya mkuu.Bado hayafiki 19