Mabaharia eeh You may try this ,kunukia vizuri

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Local za kimtaa mtaa zile za kariakoo na stand nyingine za miji ask for ...

1.Active man
2.Dark Fever. (Kama zipo nyingine mtaongeza)

OG perfume Worldwide za Bei ghali .
Unaweza tumia ..

1.David off cool Water|Hapa ipo Blue and Red.
2.Polo Sport na Polo Blue .
3.Vercege.

Kuna perume ukipuliza unapata flue au unajisiki kichefuchefu flani hiivi ..lakini kwa hizi mm ni smooth and Cool ..
Mabahari mnaweza test hizo kudumisha ubaharia

Kama unayo ya ziada si mbaya ukashare kwa mabaharia.
 
Blue 4 Men
 
zile za kiarabu zinazouzwa Jero Jero, vidogo flani portable unajipaka kwa kupangusa pangusa
Daaaah hivo sio kabisa mwanangu vina harufu kali kishenzi yani......
 
Hiyoo
1571139014743.jpeg
 
Mtajage na bei Kuna watu sio wazoefu wa izo mambo wakina bei wanaweza jaribu kuingia huko
 
Mabaharia tunaojipulizia dawa za mbu kama rungu na hit tunaruhusiwa kwenye uzi huu?
 
Screenshot_20191015-144451~3.png

Mi natumia manukato aina ya Mariam. Huwa natumia chupa ambayo kwenye picha ipo upande wa kulia lakini hiyo imezidi ukubwa kidogo. Gharama yake ni ShT 30,000/=

Kuna body lotion na perfume.
 
Local za kimtaa mtaa zile za kariakoo na stand nyingine za miji ask for ...

1.Active man
2.Dark Fever. (Kama zipo nyingine mtaongeza)

OG perfume Worldwide za Bei ghali .
Unaweza tumia ..

1.David off cool Water|Hapa ipo Blue and Red.
2.Polo Sport na Polo Blue .
3.Vercege.

Kuna perume ukipuliza unapata flue au unajisiki kichefuchefu flani hiivi ..lakini kwa hizi mm ni smooth and Cool ..
Mabahari mnaweza test hizo kudumisha ubaharia

Kama unayo ya ziada si mbaya ukashare kwa mabaharia.

mipafyumu mingi ndo umama wenyewe... mwanaume hutakiwi kunukia sana kama unaenda kuchumbiwa
 
Blue Suphire.
Knowledge.
Hizo zote ni toka kampuni ya Rasasi. Kariakoo unapata kwa 25,000 mpaka 30,000. Blue Suphire ni kali kidogo. Ila Knowledge ni soft.
One Man Show
Hii ni noma. Hakuna baharia atakayelalamika. Unapata kwa 27,000 mpaka 30,000.
 
Back
Top Bottom