Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Blue 4 MenLocal za kimtaa mtaa zile za kariakoo na stand nyingine za miji ask for ...
1.Active man
2.Dark Fever. (Kama zipo nyingine mtaongeza)
OG perfume Worldwide za Bei ghali .
Unaweza tumia ..
1.David off cool Water|Hapa ipo Blue and Red.
2.Polo Sport na Polo Blue .
3.Vercege.
Kuna perume ukipuliza unapata flue au unajisiki kichefuchefu flani hiivi ..lakini kwa hizi mm ni smooth and Cool ..
Mabahari mnaweza test hizo kudumisha ubaharia
Kama unayo ya ziada si mbaya ukashare kwa mabaharia.
Daaaah hivo sio kabisa mwanangu vina harufu kali kishenzi yani......zile za kiarabu zinazouzwa Jero Jero, vidogo flani portable unajipaka kwa kupangusa pangusa
Bei inaendaje Mkuu?
Daaaah hivo sio kabisa mwanangu vina harufu kali kishenzi yani......
Sasa hapo perfume ipo wapi na lotion ipo wapi?View attachment 1234108
Mi natumia manukato aina ya Mariam. Huwa natumia chupa ambayo kwenye picha ipo upande wa kulia lakini hiyo imezidi ukubwa kidogo. Gharama yake ni ShT 30,000/=
Kuna body lotion na perfume.
Wana perfume yenye rangi ya cream kama kwenye hiyo picha, ukitoa rangi nyengine za perfume zilizozoeleka.Sasa hapo perfume ipo wapi na lotion ipo wapi?
Local za kimtaa mtaa zile za kariakoo na stand nyingine za miji ask for ...