Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Hebu tulizeni munkari muelezee vizuriWanabodi,
Sherehe za wahitimu 2019 zimegubikwa na kasheshe za hapa na pale. Mabaharia waliosomesha na kutoa huduma vyuoni wamelia baada ya kushuhudia mahusiano mapya kipindi hiki cha sherehe.
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.Tusisomeshe kivile, kuna jamaa ana Diploma halafu mke wake kagraduate Masters Mzumbe University. Amepata shida sana Morogoro baada ya kuona alichokielewa machoni mwake.
Mabaharia tusikwame!
Kumbe ulikuwepo mkuu, nami nimeshuhudia janga hilo ila nilichosikia kutoka kwa yule jamaa ni "... haiwezekani bora tukose wote"
Hebu tulizeni munkari muelezee vizuri
Acheni kusomesha watoto wa wenzenu wakati wa kwenu mnawamwaga chooniHebu tulizeni munkari muelezee vizuri
siyo wote dear
Hebu tulizeni munkari muelezee vizuri
Tumegee mkate mkuuKumbe ulikuwepo mkuu, nami nimeshuhudia janga hilo ila nilichosikia kutoka kwa yule jamaa ni "... haiwezekani bora tukose wote"
dah mkuu umejua kunichekesha sana..... kwaiyo saiv watu wanasubiria kuona ni namna gani watakosa woteKumbe ulikuwepo mkuu, nami nimeshuhudia janga hilo ila nilichosikia kutoka kwa yule jamaa ni "... haiwezekani bora tukose wote"
Kumbe ulikuwepo mkuu, nami nimeshuhudia janga hilo ila nilichosikia kutoka kwa yule jamaa ni "... haiwezekani bora tukose wote"
Sasa ale vya mtu alafu anakuja jamaa anaondoka naye bado mkiwa meza moja unategemea nini hapo?dah mkuu umejua kunichekesha sana..... kwaiyo saiv watu wanasubiria kuona ni namna gani watakosa wote