Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,483
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
 
Tupooooo
 
hahahaha kuna jamaa yangu bahili hatari,ye dau lake mwisho elfu 20000,Yaan yeye huwa hajal wewe ni mzuri kiasi gani,hiyo ndio limit yake ya kuonga, Kuna bint mmoja mrembo wa haja waliingia ktk uhusiano na huyu jamaa,kabla mambo hayaja kaa sawa akapigwa mzinga wa 50000 jamaa akatoa 10000,yule bint alisononeka sana,akidai amedharauliwa sana. Uhusiano uliisha siku hyo [emoji23]. Tukiwa chuo alimpenda bint mmoja wa kimanga,aisee yule demu alikula 60000;na jamaa alikuwa anarecord,siku aliyopewa mzigo ndio uhusiano ulipoisha [emoji23] [emoji23] [HASHTAG]#Teambahilioyeeeee[/HASHTAG]
 
Kuhudumia ni pale tu masharti na kanuni za kumhudumia mwanamke zinapozingatiwa ikiwemo
1.mfukoni kuna sh. Ngapi kwa sasa,
2. Kuna majukumu gani ya muhimu kuliko anachodai mwanamke,
3. Je anachotaka ni anasa ama hitaji la muhimu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…