L ldleo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 1,116 Reaction score 1,121 Feb 18, 2022 #1 Mabaki muhimu ya kitamaduni ya Sanxingdui yaonyeshwa rasmi kwa umma Februari 15, katika Jumba la Uhifadhi na Ukarabati wa Mabaki ya Kitamaduni la Makumbusho ya Sanxingdui la Sichuan, barakoa ya shaba ilionyeshwa rasmi kwa umma.
Mabaki muhimu ya kitamaduni ya Sanxingdui yaonyeshwa rasmi kwa umma Februari 15, katika Jumba la Uhifadhi na Ukarabati wa Mabaki ya Kitamaduni la Makumbusho ya Sanxingdui la Sichuan, barakoa ya shaba ilionyeshwa rasmi kwa umma.
yorkshire JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 2,525 Reaction score 3,139 Feb 18, 2022 #2 ndio nani huyo!???...weka maelezo kwa kina