Mabaki ya Buibui Yenye umri wa Miaka Milioni 165

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Mabaki ya Buibui Yenye umri wa Miaka Milioni 165 yapatikana nchini China


Mabaki ya Buibui yenye kukisiwa kuwa na umri wa Miaka Milioni 165 yaligundulika katika mkoa wa Kaskazini mwa China Daohugou ni moja ya mabaki yabuibui kongwe kupatikana hadi sasa. kama inavyo onekana kwenye picha mabaki hayo yamelindwa na kuifadhiwa kikamilifu. Paulo Selden, a paleontologist kutoka Chuo Kikuu cha Kansas, anasema, "Jinsi mabaki hayo ya buibui yalivyo ifadhika ni kwa namna ya kushangaza kabisa." (Archeology Daily News)

Mabaki ya Buibui yenye umri wa Miaka 165

Kama inavyoonekana katika picha hii buibui huyu aliishi miaka milioni 165 iliyopita hana tofauti yeyote na buibui wanaoishi hivi leo. Mabaki ya buibui huyu hayajabadirika kwa kipindi chote hicho cha miaka milioni 165, hii inamaanisha kuwa ile dhana ya nadharia ya mageuzi (theory of evolution), kuwa ni ya uongo wa wazi kabisa. Buibui huyu baada ya uchunguzi wa kina imeonekana kwamba ana sifa sawa na buibui wanao ishi hivi leo.


Buibui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…