Kazi, nani sijui atawekwa U.N, sehemu nyeti sana ile J.K inabidi asilete michezo yake ya appointment za kiushkaji ushkaji ama sivyo clout yetu ndogo tuliyoanza kuirudisha pale itaondoka kabisa.
Wewe unataka awekwe nani?
Rafiki yangu Nyani McCain ... no? Au tunaweza kumpa babu yake John McCain baada ya kushindwa Tuesday, just consolation prize, uraia chap chap na ubalozi hapo hapo.But then again he said some nasty words about the UN.
Emmanuel Asajile Mwambulukutu, just to hear CNN anchors and State Department types trip over the name (how is he doing by the way?)
Sir George Kahama (just to flaunt our fake Knight) if the British have a Kinight there so can we, albeit a fake one.
Ali Karume, while on the nobility/ royalty issue, why not? Is the chap still in Germany or jobless?
In all seriousness, pale anatakiwa mtu mwenye track record ya ushushushu na aliye career diplomat msomi. I am having a hard time coming up with a rightly qualified candidate, but then again I don't have the dossiers Kikwete has.
In all seriousness, pale anatakiwa mtu mwenye track record ya ushushushu na aliye career diplomat msomi.
Pundit unanichekesha kweli. Yani umeona intelligence community ya Tanzania ndio chanzo kizuri cha kutoa wawakilishi wazuri? Mabalozi karibu wote wa Tanzania siku zote ni watu wa Intelligence (ukiondoa wajeshi na makada wa CCM) lakini nitajie shushushu mmoja balozi who is worth his name zaidi ya Mahiga.
Intelligence community ndio hiyo imetoa wakina Pinda, na kina Apson, na Kitine waliokuwa na mashutuma kibao ya malfeasance. Na huko TISS kumejaa nepotism, patronage and corruption ndio unanambia ni source nzuri ya muwakilishi wa UN. Please. Kwenye ubalozi wawe wanawekwa characters fulani ambao hawatetemeki mbele ya Western suits. Lipumba types. Mi nishaona Wazee wa Kibongo wakisimama mbele ya hawa wakubwa wenzao wa mataifa wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi. Wanaitikia tu. Ndio maana nawazimia Wanigeria, manake they don't give a rat's a$$ mbele ya Westerners.
Shushushu wa Kibongo, please! Bongo kuna ushushushu Ikulu inatumia domain za Yahoo.com ? Wale wakina dada wa nepotism waliojaa pale New York mission kuna uliyeona anafanana na ushushushu pale? Ushushushu wa ofisini kwao Kijitonyama na New York wapi na wapi?
And then save me with the "msomi" stuff, Ok! Nobody was more "msomi" than Pro. Mahallu, na Dr. Moses, na Dr. Ballali, and not to forget the illustrious A. J. Chenge, the famed "Harvard Lawyer." You got Dr. Moses allegedly hiring Kenyans at the Swedish mission na kujinunulisha majumba ya Serikali kinyume na taratibu. Prof. Mahallu na Dr. Ballali walichotutenda mpaka leo tunalia machozi!
Mzee,
ndiyo maana nikasema "career diplomat", na hata hapo ndiyo maana nikasema napata tabu kupata jina.
Career diplomat my foot!
Wakina Mahallu, Karume, Daraja, Marehemu Diria (na shutuma za madude), Moses (ambae allegedly kaajiri Wakenya Stockholm), Semfue (ambae kaajiri watu wanapokea simu hawajui Kiswahili pale DC mission) wote hawa ni career diplomats.
Lakini wanachemsha!!!
Career diplomat my foot!
Wakina Mahallu, Karume, Daraja, Marehemu Diria (na shutuma za madude), Moses (ambae allegedly kaajiri Wakenya Stockholm), Semfue (ambae kaajiri watu wanapokea simu hawajui Kiswahili pale DC mission) wote hawa ni career diplomats.
Lakini wanachemsha!!!
duh! yaani mabalozi wote wametokea kijitonyama! naona hiyo si kweli.
mahalu hakuwa career diplomat vivyo hivyo mahiga. wote wasomi
na wametofautiana sana katika heshima na mafanikio yao ya utendaji kama
mabalozi. pia wapo mabalozi ambao ni career diplomats ambao utendaji wao
umetofautiana wengine wamefanikiwa na wengine tofauti (naomba nisiulizwe mifano kwani vegezo vya mafanikio/kutofanikiwa vyaweza tofautiana). ninachotaka kusema ufanisi au kutofanikiwa kwa balozi kunatokana na mengi na si lazima u-career au kutokuwa career diplomat ukijitonyama au vinginevyo.
kwa mawazo yangu balozi manongi angefaa new york lakini ndo hivyo tena mkulu huyu tayari anamsaidia mama migiro.
Unajua nilikuwa najaribu kulikumbuka hili jina lilikuwa limenitoka. Wangeweza kumtoa kwa Migiro na kumtafuta mtu mwingine pale.
Kuna watu kama Profesa Isaria Kimambo au Frederic Kaijage....hawa wanafaa sana kwani wamefanya kazi na UNESCO na mashirika mengine kama hayo....
Kuna watu kama Profesa Isaria Kimambo au Frederic Kaijage....hawa wanafaa sana kwani wamefanya kazi na UNESCO na mashirika mengine kama hayo....