Mabalozi Wapya - Utamaduni wa kuzungusha viongozi!

Members
Ukweli ni kwamba uwezo wa JK ni mdogo. Awe mdini au sio, cha muhimu ni uwezo wa kuona athari kwa yale uyafanyayo. Ni hilo ndilo JK hana.

Kazi tunayo!
 
Choveki umeongea kweli, huyu rais hana maono ya mbele na sidhani kama ana uwezo wa kuwa rais. I am seeing kuwa Lowasa ndiyo sasa hivi anafanya hii serikali ya awamu ya nne ionekane afadhali. Otherwise, think this government without Lowasa ingekuwaje? Naona muda wote na suti na tabasamu kama actor wa hollywood!!
 
Observer,
Ni actor wa Hollywood. Alipokuja Marekani alitaka kuonana " among others," na Shaquille O'Neal na Michael Jordan. Nasikia alionana na Shaquille New York lakini Jordan alikataa kwamba hakuwa na time. Huyu ndiye rais mpya wa Bongo.
 
Jasusi said:
Observer,
Ni actor wa Hollywood. Alipokuja Marekani alitaka kuonana " among others," na Shaquille O'Neal na Michael Jordan. Nasikia alionana na Shaquille New York lakini Jordan alikataa kwamba hakuwa na time. Huyu ndiye rais mpya wa Bongo.

Please tell me you are kidding....
 



hizi ndio CHEAP POLITICS

kwa sababu inabidi ufanye mahesabu

Jumla kuna mabalozi wangapi

waisla wako wangapi

wakristo wako wangapi

then tutajua kama kuna udini au la
 
Ila hivi karibuni naona kidogo tumempiga breki! Binafsi kama nilivyosema mwanzoni sijali kama anayeteuliwa anaitwa Hamisi, John, au Sitaki! tatizo ni suala la hisia na mitazamo. Kama kiongozi huwezi kusababisha watu wako wahisi kuna ka upendeleo ka aina fulani, ndiyo mwanzo wa manung'uniko na minong'ono isiyo ya lazima! Sifurahi kuona watu wenye majina ya kikristu wakitangazwa kwenye uteuzi fulani bila watu wenye majina ya kiislamu! Hili ni suala la mantiki huitaji kuwa mwanafizikia kuweza kugundua hilo.

Kubwa zaidi ni kuwa watu wale wanaoteuliwa wawe na sababu ya kuteuliwa huko. Kama katika Wizara, Idara, au Kitengo fulani mtu anayekaimu nafasi fulani ya uongozi ana sifa, muda, na uwezo wa kushikilia nafasi hiyo na badala yake akarukwa na kuchukuliwa mtu mwingine ambaye hana sifa hizo ili mradi tu ni dini moja na Rais basi hapo kuna tatizo sana!! anayestahili kuongoza apewe hata kama anaabudu mianzi na mitete!!!
 
Kweli Udini ndio Umetumika na si ufanisi wao kiutendaji. Shame on them.
 

Haya ndio yanayotokea leo
 

Based on true story,yametokea haya.
 

:shut-mouth:***********:confused3:
 
Exclusive its 4 Great Thinkers only!!!!!
Imagine vision vision hii inatolewa na mmoja wa panelist ya Think Tank,na maamuzi yatakayo tolewa kwenye panel hiyo yafanyiwe kazi kama mnyambulisho wa VISION ya kuiona kesho ukizingatia REALITYya LEO!!!Leo hii tusingekuwa hapa tulipo bila sababu!!!.
Nikiwa kijana mdogo nasoma Secondary School miaka ya mwishoni na tisini!!As young boy anaepevuka niliwai kuwaambia watu wazima haswa!!! kuwa chama dume kwa kukaribisha MATAJIRI kuwa ndio washika dau wa maamuzi makuu kiutendaji basi future yake imewekwa rehani na mbele ya safari!!Hakika nilionekana kijana huyu HANA ADABU HATA KIDOGO!!!.

Sio kuwa TAIFA halina hazina za watu wenye vision na mission,bali alichosema Msigwa ndio JANGA!!!!!!!!!
 
hiki kitu ulipost 2006 kimeanza kutokea Unadhani tatizo ni nini?
 

baeleze
 
Kwamba Akili Ndogo kutawala akili kubwa?Au Mwendewazimu ni yule anayefanya jambo lile lile kwa kufuata njia ile ile huku akitegemea matokeo tofauti.
 

alaa kumbe kwahiyo ulitaka awateue akina:-
1. Mchungaji peter (china)
2. Askofu Joshua (zimbabwe)
3.Muimba kwaya Sospeter (london)
4. Paroko samwel (Oman)
Ndio angekuwa ameteua vizuri eee! shen.........!
 
Kumbe inauma enhe,mbona hamsemi kitu kila idara kujaa wakristo wengi hapa nchini.Unafikiri waislamu haiwaumi enhe
 
Wangeteuliwa john, michael, frank ungesema wanasifa stahiki kwani wameenda shule mburula mkubwa wewe chuki zenu dhidi ya majina issa, rajabu zitaisha lini? jaribu kuangalia tanzania ina mabalozi wangapi wa upande wako na wangapi wasio wa upande wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…