Mabalozi wapya wa kigeni wakipewa vitabu vya kujifunzia Kiswahili (Diplomatic Gift) itasaidia kuitangaza vema lugha yetu?

Ninaonaga picha mabalozi wanakabidhi hati za utambulisho ila sijawahi kuona picha ya balozi kupewa zawadi yoyote kama sehemu ya ukarimu na uungwana kwa mgeni ambayo ndio desturi yetu njema sisi watanzania.
Chadema ingechaguliwa 2015 haya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo SGR, Bwawa la umeme Fly overs, ununuzi wa ndege nk...nk ingekuwa bado ni ndoto kwa watanzania.
 
Ninaonaga picha mabalozi wanakabidhi hati za utambulisho ila sijawahi kuona picha ya balozi kupewa zawadi yoyote kama sehemu ya ukarimu na uungwana kwa mgeni ambayo ndio desturi yetu njema sisi watanzania.
Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo.
 
Ninaonaga picha mabalozi wanakabidhi hati za utambulisho ila sijawahi kuona picha ya balozi kupewa zawadi yoyote kama sehemu ya ukarimu na uungwana kwa mgeni ambayo ndio desturi yetu njema sisi watanzania.
Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi sana kwa kununua ndege mpya.
 
Watakitangaza wapi?

Nyie mnang'ang'ana kujifunza kiingereza wao wajifunze Kiswahili ili iweje?
 
Wanakuja kutusanifu tu Mkuu
Napenda makala zako kwa muda unaoweka kutafsiri
Fuatilia WikiLeaks za Julian Assange uwaletee hapa
Utajua kazi za mabalozi ni ushushushu (Intelligency) tu kwa faida yao si yetu
Kama kina Karl Peters na Mapadri wa 19 Kweusi
 
Magufuli wewe ndiye tunayekutegemea.
 
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye.
 
Kufikia October Rais Magufuli atafikia 98%.
 
Kila la kheri leteni mgombea atakayempokonya Magufuli hata asilimia tano ya kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…