Kumbukumbu zangu zinanionyesha kuwa mabalozi wetu katika nchi za kislamu huwa ni waislamu tu. Ingawa hakuna nchi inayojitambulisha kama nchi ya Kikristo, ila balozi wetu Italia huwa pia ni balozi katinka nchi ya Vatcan, ambayo ni ya kikristo. Kwanini hekima inayotumika kuteua mabalozi katika nchi za kislamu kama saudia nk isitumike kuteua mabalozikatika nchi kama Italy, Enland nk?
Italy na Vatican ni nchi mbili tofauti kihusiano wa kimataifa. Balozi anaewakilisha Italy pia anawakilisha na Vatican(multiple accreditation) kama alivyo Balozi wetu wa Saudi Arabia akiwakilisha Bahrain na Qatar.
Ama hili la kumchagua Muislamu kuwa Balozi Saudin Arabia logic yake ni kuhakikisha kuwa hakwazi katika utendaji wake wa kazi kwani kuna sehemu ndani ya Saudi Arabia haziruhusiwi asiye Muislamu kuzifikia. Ziko nchi zinazohisi kuwa uwakilishi wao sehemu hizo si lazima kumuhusisha Balozi hivyo huteuwa mabalozi wasio Waislamu. Hawa hutegemea Mabalozi wadogo walioko Mjini Jeddah kushughulikia masuwala katika hizo sehemu takatifu.
Nilifikiri sehemu zisizoruhusiwa ni misikiti tu kumbe kuna sehemu nyingine? Nchi za kiislamu kwa ujumla ni wabaguzi!
Serikali yetu haina dini. Kwa hiyo sioni mantiki ya kupeleka Mwislamu peke yake kuwa balozi Saudi Arabia. Balozi wetu Italia hivi sasa ni Karume. Mara ya mwisho niliangalia hakuwa Mkatoliki.Italy na Vatican ni nchi mbili tofauti kihusiano wa kimataifa. Balozi anaewakilisha Italy pia anawakilisha na Vatican(multiple accreditation) kama alivyo Balozi wetu wa Saudi Arabia akiwakilisha Bahrain na Qatar.
Ama hili la kumchagua Muislamu kuwa Balozi Saudin Arabia logic yake ni kuhakikisha kuwa hakwazi katika utendaji wake wa kazi kwani kuna sehemu ndani ya Saudi Arabia haziruhusiwi asiye Muislamu kuzifikia. Ziko nchi zinazohisi kuwa uwakilishi wao sehemu hizo si lazima kumuhusisha Balozi hivyo huteuwa mabalozi wasio Waislamu. Hawa hutegemea Mabalozi wadogo walioko Mjini Jeddah kushughulikia masuwala katika hizo sehemu takatifu.
Serikali yetu haina dini. Kwa hiyo sioni mantiki ya kupeleka Mwislamu peke yake kuwa balozi Saudi Arabia. Balozi wetu Italia hivi sasa ni Karume. Mara ya mwisho niliangalia hakuwa Mkatoliki.
Mara ya mwisho niliangalia hakuwa Mkatoliki.
I Googled! kwi!Uliangalia wapi?
Nilifikiri sehemu zisizoruhusiwa ni misikiti tu kumbe kuna sehemu nyingine? Nchi za kiislamu kwa ujumla ni wabaguzi!
Serikali yetu haina dini. Kwa hiyo sioni mantiki ya kupeleka Mwislamu peke yake kuwa balozi Saudi Arabia. Balozi wetu Italia hivi sasa ni Karume. Mara ya mwisho niliangalia hakuwa Mkatoliki.
nani yule haoni kundule?Udini mtupu.