rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Wakuu salaam,
Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda?
Je, wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia?
Kodisha mabanda haya kwa ufugaji wa kuku au Nguruweb(na la ng'ombe pia lipo) kwa Bei tutakayokunaliana.
Pia Kuna room ya mfanyakazi wako na geti.
TIMIZA NDOTO ZAKO ZA UFUGAJI UKIWA MOSHI BILA KUWA NA ENEO.
KARIBUNI.
Maeneo ni katikati ya Sango na Kiborilini