Vipi unataka yaekwe tiles... Kuku wewe, pengine hujawahi hata kufuga njiwa. Kitu kama si saizi yako achana nacho. Nyie ndo wale mnapiga picha nyumba za WATU na mahotelini na kupost. Fk kabisa. Unataka mifugo ifugiwe mazingira Gani? PmbvMbona hovyo sana!
Huoni aibu kuletea uchafu kama huu JF
Umbali gani kutoka barabara kuu ya lami Moshi mjini - Kiboriloni - Sango - Himo....?Wakuu salaam
Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda?
Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia?
Kodisha mabanda haya kwa ufugaji wa kuku au Nguruwe( na la ng'ombe pia lipo) kwa Bei tutakayokunaliana.
Pia Kuna room ya mfanyakazi wako na geti....
TIMIZA NDOTO ZAKO ZA UFUGAJI UKIWA MOSHI BILA KUWA NA ENEO.
KARIBUNI
View attachment 2985035View attachment 2985037View attachment 2985038
Maeneo ni katikati ya Sango na Kiborilini
Ngoja waje wafugaji wa MoshiWakuu salaam

Hususan wale wa kitimotoNgoja waje wafugaji wa Moshi
Mabanda yamechoka sana Mkuu. Very Poor product that an interest buyer can opt to buy.Wakuu salaam
Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda?
Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia?
Kodisha mabanda haya kwa ufugaji wa kuku au Nguruwe( na la ng'ombe pia lipo) kwa Bei tutakayokunaliana.
Pia Kuna room ya mfanyakazi wako na geti....
TIMIZA NDOTO ZAKO ZA UFUGAJI UKIWA MOSHI BILA KUWA NA ENEO.
KARIBUNI
View attachment 2985035View attachment 2985037View attachment 2985038
Maeneo ni katikati ya Sango na Kiborilini
Mdudu mwenyewe ndiyo mazingira yakeMabaya / Machafu
Kiti moto ndiyo anapenda mazingira hayoMbona pachafu sana?