Plot4Rent Mabanda ya kuku yanakodishwa

Plot4Rent Mabanda ya kuku yanakodishwa

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,459
Reaction score
699
Shamba lenye uzio la ukubwa wa heka 2.5, lipo Dar - Madale - Kisauke likiwa na mabanda ya kufugia kuku yaliyokamilika kwa vifaa vyote kwa kuku wanaoweza kufikia elfu kumi linakodishwa. Eneo ni zuri pia kwa kilimo cha mbogamboga, mipapai, nk. maana maji yapo mengi na umeme pia.
Njoo uone, pia kama unataka kununua tutaongea.
Kwa muhitaji tuu piga 0715274727 - Xhevior
 
Duh . yani banda tu unakodisha milioni moja mkuu? nimepoteza tu vocha yangu kukupigia
 
Duh . yani banda tu unakodisha milioni moja mkuu? nimepoteza tu vocha yangu kukupigia

Inategemea liko, laweza hata kuwa 4m, Mimi nakodisha eneo mahali (Halina Kitu), nimeweka car wash, nalipa 500.000/mwezi, halafu kuna banda na vifaa vya kutunzia kuku 1000/-? UNASHANGAA KWELI?
 
Huyo muhitaji anakupigiaje simu bila kujua bei? Kwanini usiweke hapa bei na kueleza kwa mwezi au mwaka ni kiasi gani? Kwa zama hizi imeshindikana kabisa kuweka picha?

Hata kama udalali, fanyeni kisasa basi ili watu wawaone mko makini kujipambanua na matapeli. Jazia tangazo habari muhimu mkuu
 
Picha za mabanda na eneo vitaongeza ushawishi wa watu kukutafuta!
 
Back
Top Bottom