Mabanda yaliyonifurahisha maonesho ya sabasaba!

Mabanda yaliyonifurahisha maonesho ya sabasaba!

Rich Dad

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
748
Reaction score
135
Namba moja ni banda la sido, nimefurahishwa na utaalam wa watanzania wenzangu kwenye nyanja mbalimbali.
Pili ni banda la maliasili, nimeona aina tofauti ya ndege na wanyama japo kwa uchache. Imenisukuma nijipange kufanya utalii wa ndani
 
Kama kuna banda la india na brazil
usiache kwenda kwa mjasiriamali
 
mkuu ... katika trade fair ninategemea zaidi creativity and innovation in industrialization and business

do you have anything to tell us on what you termed as "nimefurahishwa" ?
 
Nenda kajifunze na siyo kufurahishwa. Je hayo mabanda ambayo makampuni yao yako hapa kwetu, huduma zao zikoje huku mtaani, au uzushi tu katika maonyesho, lakini uhalisia ni maumivu. Maana hata TANESCO wana banda hapo, au uwongo jamani, wanawaeleza nini wananchi, kuwaelimisha juu ya mgao tu au wana jipya
 
Rich Dad, umefurahishwa na SIDO na maliasili,je mabanda yapi yamekuelimisha na ungependa nasi twende tuelimike,kwani mimi bado sijaenda ila nina lenga kwenda SIDO ,VETA na kuona uwezekano wa kupata contacts za wachina kupeleka taka taka zetu kwani wao wanauwezo wa kuzibadilisha kuwa vitu vya kuuzika,e.g plastiki zilikuwa zinazagaa sasa hazipo tena barabarani,
 
Namba moja ni banda la sido, nimefurahishwa na utaalam wa watanzania wenzangu kwenye nyanja mbalimbali. Pili ni banda la maliasili, nimeona aina tofauti ya ndege na wanyama japo kwa uchache. Imenisukuma nijipange kufanya utalii wa ndani
Mkuu baada ya kuelimika na kujifurahisha! Kama hujapitia banda la DARBREW LTD hujanikosha. Hapo kuna ile kitu asilia KIBUKU mmea asili. Na wanaruhusu kuangusha gari ktk mabenchi yao palepale na sekyuriti ya uhakika availabo. Baada ya hapo ungefika kule kwa wazungu Serengeti Brews na TBL.
 
Mkuu mbavu zote umemaliza kwamba apite kwenye Tikisa
 
Back
Top Bottom