Mkuu baada ya kuelimika na kujifurahisha! Kama hujapitia banda la DARBREW LTD hujanikosha. Hapo kuna ile kitu asilia KIBUKU mmea asili. Na wanaruhusu kuangusha gari ktk mabenchi yao palepale na sekyuriti ya uhakika availabo. Baada ya hapo ungefika kule kwa wazungu Serengeti Brews na TBL.Namba moja ni banda la sido, nimefurahishwa na utaalam wa watanzania wenzangu kwenye nyanja mbalimbali. Pili ni banda la maliasili, nimeona aina tofauti ya ndege na wanyama japo kwa uchache. Imenisukuma nijipange kufanya utalii wa ndani
Mkuu baada ya kuelimika na kujifurahisha! Kama hujapitia banda la DARBREW LTD hujanikosha. Hapo kuna ile kitu asilia KIBUKU mmea asili. Na wanaruhusu kuangusha gari ktk mabenchi yao palepale na sekyuriti ya uhakika availabo. Baada ya hapo ungefika kule kwa wazungu Serengeti Brews na TBL.