Mabango Mengine Nayo!!!

Hili la mwisho sijaelewa kabsaaa!
 
Ni sawa na muuza majeneza nae aweke bango KARIBU TENA
 
safi sana, hata huku kwetu wangetuwekea kwenye mitaa ya dada zetu!!
 
Ahahaaaaaah nimelipenda hilo eti "Thank You For Your Suffering"
 
Uzuri wa wenzetu wapo very candid and obvious! Sio sisi huku kwetu...machangu kibao and tunakula nao daily....lakini infidal politicians wawapo bungeni hawataki kuhalalisha dadapoa business....but wanawahonga hadi ma-benz!!!..... Bora hata biashara hiyo ingehalalishwa....then hayo ma-benzi wanayohongwa yakatozwa kodi.....


 
Hilo la pili nimelipenda - ila wangeweka pia No kushika makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…