King junior
Member
- Apr 8, 2011
- 63
- 12
Habari za kuaminika ni kuwa, mabango ya matangazo kuhusiana na uzinduzi wa ofisi ya CDM utakaofanyika ng'ong'ona nje kidogo ya Chuo cha Elimu karibu na bati la kijani, kuanzia saa tatu asubuhi kesho, yameanza kubanduliwa na wana-CCM,baada ya wana-CCM kutangaza dau kuwa atakaewapelea bango la tangazo moja,atajipatia elfu 5000/- cash, wana CDM walivyogundua hilo, wakaamua kuimarisha ulinzi ili kuwezesha habari hiyo kuwafikia wanachama wengi zaidi wa CDM, inavyoonesha walinzi hawa wanaweza kukaa hadi usiku sana kuhakikisha usalama wa matangazo hayo.