prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 664
- 710
Labda wanalipia kodi nzuriWana jf Leo nimewaza kitu why kila kona kuna mabango ya mawakala wa Freemasons na namba zao za simu `„je nikweli kuna watu wamefanikiwa kupitia haya mabango kujiunga na Freemason??
Na je kama sio wakweli serikali iko wapi kuwashughulikia matapeli hao ?
Hebu naombeni mchango wa mawazo Yenu pengne Mimi ndio sijaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Santana niliwapigia wakaniomba 45000 halafu na namba ya account bank kisha majina matatu pamoja na umri Wang halfu wanasema ndani ya masaa 3 utawekewa kwenye account yako million 60 dah hapo ndipo niliposhituka.Usiumize kichwa humu utapata mawazo na sio majibu.
Chukua hizo namba piga na fuata maelekezo then lete mrejesho na sisi tujue kama ni kweli au ni uzushi.Allah akbar
Uliwatumia hiyo elfu 45 au walikata kwenye hiyo milioni 60?Santana niliwapigia wakaniomba 45000 halafu na namba ya account bank kisha majina matatu pamoja na umri Wang halfu wanasema ndani ya masaa 3 utawekewa kwenye account yako million 60 dah hapo ndipo niliposhituka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh!Uliwatumia hiyo elfu 45 au walikata kwenye hiyo milioni 60?
Makandila
Mimi natafuta pesa then wananiomba pesa, ningewambia wakate kwenye hiyo m60 inayobakia waweke accountDuuh!
"gentlemanx "