Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Wapendwa, Naomba kusaidiwa! Kuna fulani ya campaign yaliyo na picha za wagombea lakini yapo pia yale ambayo yana picha za JK akiwa na watu (yani yanaonesha kuwa amekalia kiti cha uraisi na yuko na wananchi wake). Tell me, hii ni sahihi kweli; si nilisikia kuwa mabango ya aina hii yalipigwa marufuku. Wenye kujua naomba mnijuze na mimi niliye huku Babati! Kuna moija linazagaa huku na natamani kulishusha!