Elections 2010 Mabango yaliyopigwa marufuku!

Msengapavi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2008
Posts
8,819
Reaction score
7,638
Wapendwa, Naomba kusaidiwa! Kuna fulani ya campaign yaliyo na picha za wagombea lakini yapo pia yale ambayo yana picha za JK akiwa na watu (yani yanaonesha kuwa amekalia kiti cha uraisi na yuko na wananchi wake). Tell me, hii ni sahihi kweli; si nilisikia kuwa mabango ya aina hii yalipigwa marufuku. Wenye kujua naomba mnijuze na mimi niliye huku Babati! Kuna moija linazagaa huku na natamani kulishusha!
 

Utapiga marufuku mabango ya bosi wako? NEC waliongea tu kuzuga wadanganyika lakini ukweli ni kwamba hawawezi kushusha matangazo ya rais kwani ndiye aliyewaweka hapo.
 
Msengapavi, tafadhali usilishushe hilo bango, utakuwa umefanya kosa la jinai la kuharibu mali na kukosesha halmashauri mapato, nakushauri lipige picha hilo bango halafu ubandike hapa JF ili upate ushauri wa kitaalamu.
 
Tumepiga Kelele tumechoka, Ushauri wangu kwa opposition party wachukue picha za mabango yote yenye picha za Raisi akiwa Kazini ili baadae CHiCHIEM waje watueleze ni kwanini walitumia nyara za serikali katika matumizi yao binafsi. Kama hawatatueleza leo watatueleza kesho.
 
Kesho itapiga picha ya moja ya mabango na kuipost hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…