V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Apr 16, 2024 #1 Mm kunichekesha si rahisi sana ila hawa madogo wanaitwa MABANTU Leo nimeona video yao inaitwa Mali safi nimecheka. Safi vijana tumechoka tu kuona vixen wenye chura kwenye video za bongo.
Mm kunichekesha si rahisi sana ila hawa madogo wanaitwa MABANTU Leo nimeona video yao inaitwa Mali safi nimecheka. Safi vijana tumechoka tu kuona vixen wenye chura kwenye video za bongo.
sinza pazuri JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 3,344 Reaction score 9,066 Apr 16, 2024 #2 Awa talentless mabantu kuna wakati walipewa sana hype now wabongo washawapotezea
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Apr 16, 2024 #3 tuma picha ya hizo chura
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Apr 17, 2024 #4 Video iko wapi?
Cabelaone Senior Member Joined Oct 15, 2020 Posts 117 Reaction score 167 Apr 28, 2024 #5 hawa madogo... sjui wame chemka wapi siku izi
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Apr 28, 2024 #6 Mabantu wako vuzuriiii, shida tu matusi sasa wapunguze
Cabelaone Senior Member Joined Oct 15, 2020 Posts 117 Reaction score 167 Apr 28, 2024 #7 hata tabia zao ni chafu sana
Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,194 Reaction score 10,711 Apr 28, 2024 #8 sinza pazuri said: Awa talentless mabantu kuna wakati walipewa sana hype now wabongo washawapotezea Click to expand... Wabongo wanapenda ujinga
sinza pazuri said: Awa talentless mabantu kuna wakati walipewa sana hype now wabongo washawapotezea Click to expand... Wabongo wanapenda ujinga
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 May 2, 2024 #9 Tuwekee hiyo video hapa na sisi tuiangalie