Mabaraza ya katiba: JF Warioba anaendeleaje na mabaraza ya katiba???

Mabaraza ya katiba: JF Warioba anaendeleaje na mabaraza ya katiba???

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
4,780
Reaction score
3,227
Kwa mwenye taarifa na uundwaji wa mabaraza ya katiba, zoezi limefikia wapi?????? nifamisheni
 
Nilichosikia ni kwamba unatakiwa kuandika barua kwenda mwenyekiti wa kijiji chako kuomba hiyo nafasi then baadae watachagua wawili kila kata.
 
wajumbe wanne watachaguliwa na diwani atakuwa mjumbe wa tano. kwa idadi ya asilimia themanini ya madiwani wa CCM iliyopo inamaana tayari watetezi wa hoja za CCM wanazidi asilimia hamsini.
 
Back
Top Bottom