Lu-ma-ga JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 4,780 Reaction score 3,227 Feb 21, 2013 #1 Kwa mwenye taarifa na uundwaji wa mabaraza ya katiba, zoezi limefikia wapi?????? nifamisheni
M Masterproud JF-Expert Member Joined Sep 14, 2012 Posts 441 Reaction score 116 Feb 22, 2013 #2 Nilichosikia ni kwamba unatakiwa kuandika barua kwenda mwenyekiti wa kijiji chako kuomba hiyo nafasi then baadae watachagua wawili kila kata.
Nilichosikia ni kwamba unatakiwa kuandika barua kwenda mwenyekiti wa kijiji chako kuomba hiyo nafasi then baadae watachagua wawili kila kata.
K KABERWA2013 JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 304 Reaction score 92 Feb 23, 2013 #3 wajumbe wanne watachaguliwa na diwani atakuwa mjumbe wa tano. kwa idadi ya asilimia themanini ya madiwani wa CCM iliyopo inamaana tayari watetezi wa hoja za CCM wanazidi asilimia hamsini.
wajumbe wanne watachaguliwa na diwani atakuwa mjumbe wa tano. kwa idadi ya asilimia themanini ya madiwani wa CCM iliyopo inamaana tayari watetezi wa hoja za CCM wanazidi asilimia hamsini.