Mabasi gani mtu unasafiri comfortable zaidi toka Dar kwenda Mwanza?

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,462
Salaam wadau, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Naomba kufahamu ni mabasi gani mtu unasafiri comfortable zaidi toka Dar kwenda Mwanza. Pia nauli zake kwa sasa.

Natanguliza shukrani. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Allys star [emoji93] ni [emoji91] hutojutia
 
Usijaribu tungi’s, kibo kama ulivyo elekezwa hapo juu.

Mwz- dar... kisesa/ zuberi, travel partner, happy nation.

Dar mwz- allys, kisesa/zuberi, happy nation, travel partner.

Hakuna luxury zote ni semi luxury, nauli ni 50k kasoro zuberi na kisesa ndio inaweza kua chini kidogo.
 
😀😀😀 alitaka atajiwe gari.. ndio maana tume mtajia general tu.. hata kwenye semi luxury hazipo ni mabasi ya kawaida tu
 
Unajua semi luxury ni vigezo vipi, na ordinary ni vigezo vipi? Unashanganza
kwa viwango vyetu tunawekaga tu majina, hiyo Tungis yenyewe imeweka kama semi luxury.. lakini panda sasa.. kama sector ya usafirishaji bado tupi nyuma
 
Sio majina kuweka kwa mujibu wa guidelines za latra ni semi luxury, changamoto ni latra wakishatoa daraja hawapitii tena kwa ukaguzi
 
Njia hio tafuta gari mpya upande
Comfortability sio suala la kuwazia sana maana lazm ufike ukiwa umechoka nashangaa bus zinaandikwa luxury semi luxury sijui hata wana maana gan
Bus unapanda kila saa ni kukuamsha kudai risit 😕😕
 
Back
Top Bottom