kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Niirodheshee unayoyajua na nauli zake mkuuHakuna basi luxury kutoka Dar kwenda Mwanza.. mkuu.. jipange tu kuvumilia maumivu ya safari ndefu
Tungis, ally's, kisbo, kibo, happynation, etc.. nauliza nafikiri zinaanzia 50k and aboveNiirodheshee unayoyajua na nauli zake mkuu
hizo wanazo ita luxury unafika umechoka hatariLuxury Bongo hazijafika
Allys star [emoji93] ni [emoji91] hutojutiaSalaam wadau, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Naomba kufahamu ni mabasi gani mtu unasafiri comfortable zaidi toka Dar kwenda Mwanza. Pia nauli zake kwa sasa.
Natanguliza shukrani. [emoji120][emoji120][emoji120]
Sasa sauli ni luxury? Kwa mbeya Bora golden deer kuliko sauliluxury zipo za mbeya,scania kina saul
zile bado kuwa luxury mkuu.. unajua luxury kweli au kwasababu wameandika tu ๐๐luxury zipo za mbeya,scania kina saul
๐๐๐ alitaka atajiwe gari.. ndio maana tume mtajia general tu.. hata kwenye semi luxury hazipo ni mabasi ya kawaida tuUsijaribu tungiโs, kibo kama ulivyo elekezwa hapo juu.
Mwz- dar... kisesa/ zuberi, travel partner, happy nation.
Dar mwz- allys, kisesa/zuberi, happy nation, travel partner.
Hakuna luxury zote ni semi luxury, nauli ni 50k kasoro zuberi na kisesa ndio inaweza kua chini kidogo.
[emoji3][emoji3][emoji3] alitaka atajiwe gari.. ndio maana tume mtajia general tu.. hata kwenye semi luxury hazipo ni mabasi ya kawaida tu
kwa viwango vyetu tunawekaga tu majina, hiyo Tungis yenyewe imeweka kama semi luxury.. lakini panda sasa.. kama sector ya usafirishaji bado tupi nyumaUnajua semi luxury ni vigezo vipi, na ordinary ni vigezo vipi? Unashanganza
kwa viwango vyetu tunawekaga tu majina, hiyo Tungis yenyewe imeweka kama semi luxury.. lakini panda sasa.. kama sector ya usafirishaji bado tupi nyuma
Ndio nilikuwa na maanisha ufatiliaji zero na hata vigezo hayo yote ni majibuSio majina kuweka kwa mujibu wa guidelines za latra ni semi luxury, changamoto ni latra wakishatoa daraja hawapitii tena kwa ukaguzi