mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Wadau nikiwa mtumiaji mkubwa wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani nimeanza kupata hofu kutokana na wimbi la mabasi hayo kulipuka na kuwaka moto na kusababisha vifo na upotevu mkubwa wa mali.
Nawaomba watalaamu wa masuala ya magari pamoja na vyombo husika vifanye uchunguzi sababu za mabasi hayo kulipuka na kuwaka moto.
Vile vile wawasiliane na watengenezaji wa magari hayo inawezekana hali ya hewa ya nchi zetu ikawa chanzo.