Mabasi Mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yatua Dar

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mofat imeingiza Mabasi tayari. Sijapenda yalivyo na rangi ya CCM. Hii ni Nchi ya Vyama vingi. Au aliambiwa usipopaka kijani hatukupi Tenda?

KAMPUNI ya Kitanzania ya MOFAT ambayo ilipewa mkataba wa miaka 12 na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) kwa ajili ya kuendesha Awamu ya Pili ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), unaotoka Gerezani hadi Mbagala kaingiza Maghari tayari katika bandari ya Dar es Salaam.

Kampuni hiyo ya MOFAT iilidai mabasi haya 255 yatatumia gesi.
 
Kijani sio rangi ya CCM bro.

Angalau hawa wako serious , wale waarabu wa kuanzia Kimara wako kimya.
 
Kijani ipo kwenye bendera ya taifa
 
takataka tupu , hakuna kitu maana wanajua hata wasipotenda watahonga rushwa and they sail through
 
kwa hiyo watayapaki palepale yaliwe na maji? pia, hivi rangi ya njano kwao ni mbaya sana?
 
Mimi samia kitendo cha kufuta makanisa, watu zaidi ya milioni wanazuiwa haki yao ya kumwabudu Mungu wa Wakristo, kimenikera na nitampiga kwa kila kitu. na yeye hata haoni kama amegusa sehemu mbaya.
 
Kwa nini yana rangi ya.kijani?
 
Kwa nini yana rangi ya.kijani?
 
polepole tu kika kitu kitakaa sawa,maendeleo ni hatua
 
Kwa hiyo wameamua kuleta rangi ya Oktoba ✅️
 
Kuleta mabasi ni kitu kingine, kuyaweka barabarani mtasubiri sana.
Mnakumbuka kuna yale mengine kidogo tu yaozee Ubungo icd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…